Habari za majukumu wakuu. Samahani kuna tatizo linanisumbua kwa muda wa mwez m1 sasa, Ninapatwa na joto la ghafla mwili mzima na kutokwa na jasho jingi hali hyo inapojitokeza, maranyingi hutokea mchana na hata usiku pia nikiwa usingizini najikuta nimeloa jasho kichwani n maeneo ya kifua, lkn pia ninapata maumivu ya tumbo pembeni mwa kitovu yanashuka hadi kwenye mapaja na hata kwenye uume km vile kiungua fulani hivi.
Nimejaribu kufanya vipimo vya kiafya km vile choo kubwa, haja ndogo(kipimo kikubwa) na HIV lkn majibu yanakuja negative, kisukari pia iko normal 4.4.
Nmepewa madawa ya kumeza lkn tatzo linazikuongezeka hd mwingine najisikia kutapika lkn sitapiki. Juzi jmosi nipimwa kwenye maabara moja huko mkoani ndo wakakuta nina minyoo aina ya ascaris na kichocho, pia walikuta UTI, nilipewa madawa naendelea kuyatumia lkn bado cjapata kupona vyema.
Sasa swali ni kwamba, kichocho na minyoo hiyo ndo yanaweza kunisababisha matatzo hayo niliyoyataja hapo juu au kuna kitu kingine chaweza kuwa source (chanzo)?
Ushauri wenu ni wa muhimi sana kwangu.