Ushauri wa kibaharia

Ushauri wa kibaharia

Tanzania Nchi Yetu Sote

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2017
Posts
505
Reaction score
872
Dear Anko,
Naomba msaada wako nifanye nini? Mimi ni mke wa mtu, na mume wangu tunapendana sana. Juzi niliondoka kwenda kazini nikamuacha mume wangu anaangalia TV. Sikufika mbali gari ghafla likazima, nikalazimika kutembea kwa miguu kurudi nyumbani nikamwambie mume wangu anisaidie.

Nilipofika nyumbani sikuamini macho yangu baada kumkuta mume wangu na binti wa jirani yetu. Nilimkabili mume wangu na kwa bahati nzuri kakubali makosa kuwa uhusiano wao una mwaka sasa, lakini cha ajabu akasema atalazimika kumuacha huyo binti polepole ili asimchanganye kisaikolojia kwa kuwa bado mdogo anasoma college. Je hii ni sawa? Nifanye nini? Naomba
ushauri Mzee wangu.
Mimi,
Fransiska wa Mwenge.🤦🏻‍♀

JIBU
Binti yangu Fransiska,
Nimesoma kwa makini ujumbe wako, kitu ambacho nimekiona mara moja ni hili tatizo la gari kuzimika ghafla. Kwanini uendeshe gari na baada ya muda mfupi lizimike? Hapa kuna matatizo kadha wa kadha ambayo yanaweza kuwa chanzo.

Inawezekana plug mbovu au uchafu umeingia kwenye mrija unaopeleka mafuta kwenye injini. Au pengine ni tatizo la umeme, au fuel pump, ulicheki kama petroli ipo? Ikiwezekana waone mafundi hapo karibu warekebishe hivyo nilivyovitaja. Gari ikiharibika tena usiiache peke yake barabarani kuna vibaka sana.
Natumaini ushauri huo utakusaidia mwanangu.

Mimi Anko.

Anko km Anko🤣🤣🤣🤣😆🙌🏽
 
Huyu anako ni bonge la baharia yaani
 
Ukiitwa Anko inabidi uwe na majibu ya ki Anko Anko usiingie kwenye kimtego kirahisi.. huku kwetu Anko akigoma usiolewe basi hauolewi

Huu mwaka ana-kuta yu-nji ana-kuta yu-nji
 
Dear Anko,
Naomba msaada wako nifanye nini? Mimi ni mke wa mtu, na mume wangu tunapendana sana. Juzi niliondoka kwenda kazini nikamuacha mume wangu anaangalia TV. Sikufika mbali gari ghafla likazima, nikalazimika kutembea kwa miguu kurudi nyumbani nikamwambie mume wangu anisaidie.

Nilipofika nyumbani sikuamini macho yangu baada kumkuta mume wangu na binti wa jirani yetu. Nilimkabili mume wangu na kwa bahati nzuri kakubali makosa kuwa uhusiano wao una mwaka sasa, lakini cha ajabu akasema atalazimika kumuacha huyo binti polepole ili asimchanganye kisaikolojia kwa kuwa bado mdogo anasoma college. Je hii ni sawa? Nifanye nini? Naomba
ushauri Mzee wangu.
Mimi,
Fransiska wa Mwenge.[emoji2943]

JIBU
Binti yangu Fransiska,
Nimesoma kwa makini ujumbe wako, kitu ambacho nimekiona mara moja ni hili tatizo la gari kuzimika ghafla. Kwanini uendeshe gari na baada ya muda mfupi lizimike? Hapa kuna matatizo kadha wa kadha ambayo yanaweza kuwa chanzo.

Inawezekana plug mbovu au uchafu umeingia kwenye mrija unaopeleka mafuta kwenye injini. Au pengine ni tatizo la umeme, au fuel pump, ulicheki kama petroli ipo? Ikiwezekana waone mafundi hapo karibu warekebishe hivyo nilivyovitaja. Gari ikiharibika tena usiiache peke yake barabarani kuna vibaka sana.
Natumaini ushauri huo utakusaidia mwanangu.

Mimi Anko.

Anko km Anko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji1430]
anko Kama anko[emoji16][emoji16]
 
Tatizo la pili ni simu yake..je haikuwa na salio? Kwanini asimpigie mume wake kumueleza kwamba gari imeharibika..
Na hapo ndipo inapoonekana kwamba hii habari ni CHAI
 
Back
Top Bottom