ushauri wa kibiashara na uendeshaji miradi

ushauri wa kibiashara na uendeshaji miradi

JOSEPHAT.P

Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
70
Reaction score
18
Jamani watanzania wenzangu,huu ni wakati wa kufanya kazi kwa akili zetu na nguvu zetu! Mimi leo nakuarika wewe ambaye unahitaji kundikiwa mradi na mchanganuo wake wote,ushauri jinsi ya kuendesha mradi. Kwa sasa nna business plan ya kuku wa mayai,2000 na 5000, pamoja na nyuki kwa asali! Mwenye kuhitaji plan hizi anaweza kuwasiliana namimi katika:
jpshimo@yahoo.com
0713659828 / 0763487330
Pia kwa wajasiriamali nawakaribisha katika mafunzo ya biashara na miradi ambayo huwa nayatoa mara kwa mara!
Mimi ni muhitimu katika shahada ya uchumi kilimo na biashara(agricultural economics and agribusiness from SUA)
 
Kaka Yaani Huwa Nakuwa Confused Sana na Haya Maneno na Umuhimu wake BUSSINESS PLAN na SWOT ANALYSIS.Nisaidie tafadhali
 
Jamani watanzania wenzangu,huu ni wakati wa kufanya kazi kwa akili zetu na nguvu zetu! Mimi leo nakuarika wewe ambaye unahitaji kundikiwa mradi na mchanganuo wake wote,ushauri jinsi ya kuendesha mradi. Kwa sasa nna business plan ya kuku wa mayai,2000 na 5000, pamoja na nyuki kwa asali! Mwenye kuhitaji plan hizi anaweza kuwasiliana namimi katika:
jpshimo@yahoo.com
0713659828 / 0763487330
Pia kwa wajasiriamali nawakaribisha katika mafunzo ya biashara na miradi ambayo huwa nayatoa mara kwa mara!
Mimi ni muhitimu katika shahada ya uchumi kilimo na biashara(agricultural economics and agribusiness from SUA)

Mkuu JOSEPHAT.P

wewe ni mtu muhimu sana na hongera kwa taaluma ya uchumi wa kilimo

Naomba unipe taarifa ni benki gani zinatoa mikopo ya mradi wa ufugaji wa kuku wa mayai au nyama au mradi wa utotoleshaji wa vifaranga

Natanguliza shukurani
 
Ahsante sana ndugu kwa kusoma maneno yangu na kuenda mbele zaidi na kupenda kujua hayo maneno,
Tunaposema business plan maana yake ni mchanganuo wa biashara unaoelezea biashara nzima na mahitaji yake ambao hutumika kama dira au mwongozo katika kufanya biashara. Pia SWOT inasimama kama, S-Strength, W-Weakness, O-Opportunities na T-Threats. Strength na Weakness huwa viko ndani ya biashara yenyewe(Internal factors) ambazo huelezea namna gani biashara/mradi uko strong enough kuingia katika uzalishaji lakini pia ina madhaifu yake. Opportunities na Threats ni mazingira ya nje ya biashara ambayo yanaweza kuiendeleza au kuidhoofisha biahara(external factors). Sasa basi unavyoandaa business plan, hiki kipengere cha SWOT analysis lazima kiwepo ndani ya mchanganuo wa bishara!
Kwa kifupi ndio hivyo ndugu.
 
Hongera sana sana yaani umenigusa sana kwa hilo,nami ni mjasiriamali wa ufugaji kuku wa nyama,lkn ndio kwanza najifunza kwa maana hiyo ni mara yangu ya pili(tripu ya pili)kuweka kuku wa nyama,nitakuchek kwa namba yako ili kuongea zaidi khs hili jambo na bado nahitaji sana kujifunza kwani nahisi wanafaida nzuri tu kwa maisha ya kujitegemea.
 
Nashukuru sana ndugu kwa swali lako zuri,
Benki nyingi Tanzania huwa zinaogopa sana kutoa mikopo katika sekta ya kilimo na ufugaji kutokana na (risks) madhara katika sekta hii.Lakini nipende kukufahamisha kuwa benki ya CRDB imeshaanza kutoa mikopo katika sekta hii ya kilimo na ufugaji kwa wajasiriamali hasa walioko kwenye vikundi vilivyosajiriwa kisheria na mrajisi na wale wenye amana ili kuweza kulinda mkopo.
 
biashara ni malengo na yanahitaji nia ya dhati kuyafikia! Watanzania wenzangu hasa kwa wale wajasiriamali au wanaodhani wana chembe za ujasiriamali....kamwe usijihusishe na biashara kwa kuwa ulikosa ajira...na ujasriamali ndo ukawa plan B! Focus na uwe na self motivation ya biashara!
Wanasema kuwa, ukiona opportunity yeyote jiulize: what is in it for me?(wiiifm)
 
hakikisha unakuwa na mpango mkakati unaoendana na ushindani! Biashara nyingi zinakufa kwa sababu bado zipo mfumo wa ZALISHA BIDHAA WATANUNUA!....nataka nikuombe wewe mwanabiashara kwamba,kuwa na mfumo huu,ZALISHA BIDHAA INAYOHITAJIKA KWA WATUMIAJI!tena zingatia uizalishe kwa kiwango sahihi,ubora na muda mwafaka!
 
Back
Top Bottom