[Ushauri]: Wa Kikubwa na Kiutu_Uzima Unahitajika hapa


MKUU,

HIYO JEANS KUVALIWA MIEZI 6 SIO KWA LENGO LA KUDUMISHA UCHAFU,
BALI NI KUANDAA INTAVYUU YA MATIRIO_WAIFU.
 
Vipimo vya ajabu huo ni ujinga katika yooote la maana ni kupika kufua na usafi tuu! Eti jin z 9 hizo nazo ni nguo za kumshinda mtu kufua?kigumu hapo ni kuchota maji loh kwan msalaba? Mmewageuza wanawake punda

MKUU

SIO JEANS 9,
BALI NI 19 TU WALA SIO NYINGI.
 
Vipo vingi vya kumpima mtu nakujua kama ni wife material sio huo upupu wako hapo, yaani kwa akili yako umeona hivyo ndo vigezo???

KWA MFANO VIGEZO VIPI MATATA KUSHINDA HII INTAVYUU MKUU??
 
Hapa umekosea mkuu jamaa anataka manamba sio mke tabia haina kwao
Ila kwa rafudhi yake atakuwa anatokea
DAREDA

MKUU

MANAMBA WA NINI TENA??
HALAFU UNGEFAFANUA HICHO KIPENGELE CHA KUTOKEA #DAREDA,

KUPOJE HUKO??
 
NAWEWE UPEPE KUCHIMBA SHIMO LA CHOO FT 12 THEN UCHANJE KUNI ZA MWEZI 1 BY THEN ULETE YALE MGOGO YA MNINGA HAPA KWANYUMBA JION UPEWE UGALI WA MUHOGO KWA MGEBUKA WA KUCHOMA UKIMALIZA ASUBUI UKACHOME MKAA UKIWEZA HAYO UNAFAA KUA MUME

SASA HIYO ND'O INTAVYUU GANI YA KUFUATISHANA HIYO MKUU??

MIYE NIPE INTAVYUU YA KULA KANDE KILO 3½
UONE NITAVYOJIBEBEA MKE KIULAINI!
 
Uwe na hela ya kutosha sio unamfanyisha mtoto wa watu mikazi hiyo alafu maisha yamekuendea komba,na he nani kakwambia mtoto wa watu unamchukua ili akufanyie mikazi yote hiyo?

MKUU,

UVIVU HAUTAKIWI,
LAZIMA WATU WACHAPE KAZI ILI KUIJENGA TANZANIA YA VIWANDA.
 
dah ! nilikuwa natafuta mbinu na sababu za kumuacha lakin senator umerahisisha kazi yangu nitatumia hii technique

MKUU,

HII SIO TEKNIKI YA KUMWACHA MWENZIO,
BALI NI YA KUPATIA MATIRIO_WAIFU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…