[Ushauri]: Wa Kikubwa na Kiutu_Uzima Unahitajika hapa

[Ushauri]: Wa Kikubwa na Kiutu_Uzima Unahitajika hapa

Sidhani kama ataweza kurudi. Si9 kwamba anaona kazi nyingi,la,ataona hawezi kuishi na mwanaume asiyejali.

Practical ndio hadi shimo la taka achimbe yeye??

SIO KUTOJALI MKUU,
BALI NI INTAVYUU.

SASA LISIPOCHIMBWA SHIMO LA TAKA NI KUKARIBISHA MARADHI!
 
Kwa hiyo material wife wako ni wa kufua majeans machafu hivyo? Unataka mke au unataka mtumishi wa ndani? Nimesema interview yako haionyeshi kama unachotafuta ni mke au unataka mtwana. Vinginevyo, katunge mtihani mwingine kwa sababu huu kwa maswlai yako ajili ya kutafuta mke, ni sawa na kuandaa maswali ya fundi ujenzi wakati wewe unataka kuajiri dereva wa gari.

MKUU

NAHISI UNA KAMPENI KABAMBE YA KUTAKA MATIRIO_WAIFU WAWE WAVIVU!
 
Dah! Kama unataka hayo yote tafuta msaidizi tene mwanaume mwenzio na sio mke. Achimbe shimo la taka, afue, apike, adeki, alime na mkono, na majeans yako na mashuka ya miezi sita pia afue....
Kwanza wewe sio mtu, unatumia shuka miezi sita???
ha ha ha haaaa....sikupanga kucheka leo lakini naona comedy imenifata. All the best.
Na wewe upewe practical ipi tujue kama wewe ni mme bora?
According to Mahubiri ya leo: SATAN HAS MADE YOU LOOSE CONTROL. COME BACK TO YOUR SENSES.

MKUU

MSAADA WA TAFSIRI NA UFAFANUZI UNAHITAJIKA HAPO KWENYE MANENO YA KIGENI TAFADHALI.
 
Nimesoma aya moja tu ikanishinda. Tanzania ya viwanda itakuwa na watumish kweli kwa namna hii?

MKUU

LENGO NI KUPATA MATIRIO_WAIFU WA KUJENGA NAYE TANZANIA YA VIWANDA,
NA SI VINGINEVYO.
 
Yategemea na nia yako ya kuowa, kama ulihitahiji house girl basi upo sawa mkuu
 
More than impossible hata km ungekuwa tayari kufanya yote hayo hawezi ndani ya siku moja! Awashe Mkaa ulolowa, apike, afue, achimbe shimo, achote maji. Sijawahi kuona hiyo. Hata kijijini haipo. Halafu baada ya yooote hayo umpe nauli tu. Utasubiri saaana

MKUU,

NI NAULI YA KWENDA NA KURUDI,
LABDA HUKUNIELEWA VIZURI!
 
Mkuu unafanya vipimo vya mke au vipimo vya mwanajeshi

Kwa watoto wa town sidhan labda wa uswekeni huko, ila bado naamin atafanya huku moyoni ana lake jambo linatukutia..

Kama unatafta mkee hatafutwi hvyo, ila kama unatafuta mwanajeshi a.k.a alshabibi hapo sawa.. Endelea mkuu

BALI MKE ANATAFUTWAJE MKUU??
 
Mkeo sio house girl, kumpa kazi ngumu hivyo kwani kwao wanalala njaa! Tumeambiwa tuwapende wake zetu lkn hatujaambiwa tuwape kazi ngumu.
 
Mkeo sio house girl, kumpa kazi ngumu hivyo kwani kwao wanalala njaa! Tumeambiwa tuwapende wake zetu lkn hatujaambiwa tuwape kazi ngumu.

MKUU

ILA USISAHAU KUWA KUWA
ILI KUFIKIA TANZANIA YA VIWANDA
HATUTAKIWI KUENDEKEZA UVIVU!
 
Wanaume wa mikoani mna roho mbaya sana. Wangu mimi namlisha chipsi kuku avimbe makalio tu.[emoji39]
 
Back
Top Bottom