[Ushauri]: Wa Kikubwa na Kiutu_Uzima Unahitajika hapa

kwani ulitokea kny miti?km ulitoka tumboni mama yako na ukaona anavyoishi vizuri na baba yako then utafuata mfano huo...huwezi kupata Nazi chini ya mwembe I mean labda na mzazi wako alimtumikisha mama yako then utakuwa unataka kufanya hivyo hivyo....

MKUU

MBONA MAPOVU MENGI??

HII NI INTAVYUU YA MATIRIO_WAIFU!
 
Kwa nilichojifunza mimi mke wa kuoa huwezi hata kumgrade kwa namna yoyote yaani wewe utaona tu imetokea katika mademu zako mmoja wao utajisikia huru sana unapokuwa nae karibu yaani ndugu si ndugu dada si dada kwenye mapenzi tu ya kugegedana mlishavuka na ukipata dharura unajikuta ulishamuambia awe anafika gheto kupachungulia pindi haupo mara siku ingine unamwambia mlale wote hadi asubuhi naye anakujibu home kwao watazingua wanaweza wakamfukuza na wewe unajikuta unamjibu watajijua wao wakikufukuza si unakuja zako huku tunaishi zetu.na na mapigo mengine kama hayo sijui kama ununanipata vizuri.Kwahiyo huyo demu unapanga kumfanyia majiribio hayo nasema kabisa tena kwa kifua mbele moyo wako wa kumuoa upo mbali naye jaribu tu kujihakikisha vizuri moyo wako upo wapi kwa 100%.
 
Uzi wa kitoto wenye mfumo dume. Ni hivyo tu. Jamani kuna avatar za watu wengine hapo juu zinamwaakilisha Lucifer. Loo, zinatisha mno; khaa mbuzi si mbuzi, ng'ombe si ng'ombe. Of all avatars in the world, why pick demonic one.

NJE YA MADA.
 
Kwa nilichojifunza mimi mke wa kuoa huwezi hata kumgrade kwa namna yoyote yaani wewe utaona tu imetokea katika mademu zako mmoja wao utajisikia huru sana unapokuwa nae karibu yaani ndugu si ndugu dada si dada kwenye mapenzi tu ya kugegedana mlishavuka na ukipata dharura unajikuta ulishamuambia awe anafika gheto kupachungulia pindi haupo mara siku ingine unamwambia mlale wote hadi asubuhi naye anakujibu home kwao watazingua wanaweza wakamfukuza na wewe unajikuta unamjibu watajijua wao wakikufukuza si unakuja zako huku tunaishi zetu.na na mapigo mengine kama hayo sijui kama ununanipata vizuri.Kwahiyo huyo demu unapanga kumfanyia majiribio hayo nasema kabisa tena kwa kifua mbele moyo wako wa kumuoa upo mbali naye jaribu tu kujihakikisha vizuri moyo wako upo wapi kwa 100%.

KWA HIYO MKUU

UNAMAANISHA HII INTAVYUU INA TATIZO LOLOTE??
 
Intavyuu haina tatizo lolote sema dhumuni la intavyuu hiyo ndo kunaukakasi kidogo je nikumpata askari aliyepitia JKT, au kumpata house girl aliyepitia mafunzo ya kikomandoo,auuu..maana katika kumpata mke naona inakataa.
 
Back
Top Bottom