Hivi nyie watu wengine mnafikiri mke ni kijakazi au mtumwa au?mke ana kazi moja tu,nayo ni kukupa unyumba tu ili usifanye UZINZI baaasi hakuna zaidi.Kupika,kufua,usafi wa nyumba,etc,etc yote hayo ni kazi ya mfanyakazi,iwapo mke atafanya hata kimoja kati ya hivyo vya mfanyakazi ujue hiyo anakufanyia kwa hisani na mapenzi na sio wajibu wake kabisa.Kumbuka mke kunyonyesha mtotowako anatakiwa alipwe mshahara la sivyo aamue kuwa hataki mshahara,kwa hiyo mke kazi yake ni moja tuuuuuuu,ni kitandani kupeana mautamuuuuuu,lakini mautamu ya papuchi tuuuu,sio tigo.