Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm n kijana wa miaka 23,nasoma chuo kikuu.nina laki 4.nataka nianzishe mtaji au kitu kitakachoniingizia pesa huku nkiwa nasoma(yaani biashara ambayo haitahitaji mda wangy mwingi ili nisome.nijilipie ada nk.nakaribisha mawazo yoyote wakuu
Kwanza weka maelezo yako wazi, uko chuo kikuu wapi? Unahishi katika mazingira yapi? Hapo ulipo kuna fursa zipi? Ukishajibu maswali hayo - hapo tutaweza kukupa uzoefu wa kila utakachokuwa unawaza kufanya.
Mimi niko Mwanza nina rafiki yangu yuko Bugando University - anaendesha maisha yake kwa biashara ya grocery. Nafurahi kwa kuwa mi ndo nilimpa ushauri na nikamwandalia mwongozo wa kuendesha grocery hata usipokuwa karibu na sehemu ilipo.
Safi kabisa mkuu!,sasa tupe maujanja uliyompa jamaa kuhusu biashara ya Grocery huwa napenda niifanye lkn umbali huwa ni kikwazo kikubwa kwangu.