Ushauri wa kina na mafanikio unahitajika

mike318

Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
50
Reaction score
2
Mm n kijana wa miaka 23,nasoma chuo kikuu.nina laki 4.nataka nianzishe mtaji au kitu kitakachoniingizia pesa huku nkiwa nasoma(yaani biashara ambayo haitahitaji mda wangy mwingi ili nisome.nijilipie ada nk.nakaribisha mawazo yoyote wakuu
 
Kwanza weka maelezo yako wazi, uko chuo kikuu wapi? Unahishi katika mazingira yapi? Hapo ulipo kuna fursa zipi? Ukishajibu maswali hayo - hapo tutaweza kukupa uzoefu wa kila utakachokuwa unawaza kufanya.

Mimi niko Mwanza nina rafiki yangu yuko Bugando University - anaendesha maisha yake kwa biashara ya grocery. Nafurahi kwa kuwa mi ndo nilimpa ushauri na nikamwandalia mwongozo wa kuendesha grocery hata usipokuwa karibu na sehemu ilipo.
 
Safi kabisa mkuu!,sasa tupe maujanja uliyompa jamaa kuhusu biashara ya Grocery huwa napenda niifanye lkn umbali huwa ni kikwazo kikubwa kwangu.
 
Mm n kijana wa miaka 23,nasoma chuo kikuu.nina laki 4.nataka nianzishe mtaji au kitu kitakachoniingizia pesa huku nkiwa nasoma(yaani biashara ambayo haitahitaji mda wangy mwingi ili nisome.nijilipie ada nk.nakaribisha mawazo yoyote wakuu

Kwenye biashara hapo kama uko maeneo ya chuo basi biashara nzuri ni stationary nafikiri itakufaaa sana kwa mwanzoni utaanzia ndani ya hostel yako jina likiwa kubwa utahamia nje kuna jamaaa yupo TIA anamashine ya photocopy na printing lakin kwa siku hakosi shilingi elfu 60 mpka sabini ya mauzo yake
 
Back
Top Bottom