Hiyo sio hali ya kawaida mwambie aende Hospitali kumuona Daktari au atumie Dawa moja kati ya Dawa zangu hizi za tiba Mbadala.
DAWA ZA KUTEREMSHA HEDHI.
Ikiwa hedhi imezuilika kwa kufikia umri wa kumaliza au ni kwasababu ya mimba, inafahamika lakini ikiwa si kwasababu mbili hizo basi hufanyiwa dawa na kuirudisha hedhi.
1. Kunywa chai ya mdalasini.
2.
Mvuje ukinywewa pamoja na pilipilimanga huteremsha hedhi iliyo fungwa katika uzai au mapito yake.
3. Manemane ikipondwa na ukinywa siku tatu asubuhi kabla ya kula chakula
4. Thoum na maganda yake huteremsha hedhi
5. Kunywa maji yaliyochemsha na zaatari.
Akisha pata hizo siku zake please give me a Feedback............................................
quimby_joey