Sio kweli weka kwanza swar vzur ,,maan kama walimu ,ukiwa tu mwalimu automatic unakuwa mwanachama wa chama cha walimu (CWT) ,Sasa huko kujitoa ndo umeniacha kidgo utajitoaje wakat automatic n member wa CWT?Naomba kufahamu kama ni lazima kukatwa agency fee kwenye mshahara wa Mtumishi. Mfano walimu kukatwa 2% kila mwezi kwenye mshahara wao. Je ukijitoa kwann hyo 2% wanadai inaendelea kukatwa mpaka utakapojiunga na chama kingine ampapo tena utakatwa asilimia utakazokuta huko. Hii ikoje kisheria mnisaidie
Bado sijaandika hiyo revocation letter. Nilikua nataka kwanza niulize kisheria kama ukiandika hiyo letter kama hayo makato yanaweza kuondolewa. Maafisa wa cwt wanasemahata ukiandika watakufuta uanachama lakin hiyo 3% kwenye mshahara itaendelea kukatwa coz chama hua kinatetea walimu wote bila kubaguaSio kweli weka kwanza swar vzur ,,maan kama walimu ,ukiwa tu mwalimu automatic unakuwa mwanachama wa chama cha walimu (CWT) ,Sasa huko kujitoa ndo umeniacha kidgo utajitoaje wakat automatic n member wa CWT?
ULISHAWAH ANDIKA REVOCATION LETTEr