snboy
Member
- Apr 5, 2014
- 75
- 14
Naomba kufahamu kama ni lazima kukatwa agency fee kwenye mshahara wa Mtumishi. Mfano walimu kukatwa 2% kila mwezi kwenye mshahara wao. Je ukijitoa kwann hyo 2% wanadai inaendelea kukatwa mpaka utakapojiunga na chama kingine ampapo tena utakatwa asilimia utakazokuta huko. Hii ikoje kisheria mnisaidie