Muhubiri
Senior Member
- Mar 11, 2012
- 140
- 120
Wanajamii, Salaam, Nahitaji ushauri wa kisheria , tumekubaliana na mke wangu kuwa yeyote atakaye kufa mali zote zinazobaki zinakuwa chini ya umiliki wake na kama akifa inabaki ni mali ya watoto na kama watoto nao wakifa inabaki kuwa mali ya kanisa lile ambalo tutakuwa mimi na mke wangu tumekubaliana, sitaki ndugu yeyote aguse mali yetu kuepuka usumbufu hasa kama mimi mume nimetangulia, nisaidieni hatua za kufuata kisheria kulikamilisha hili