Ushauri wa kisheria kutokana na kuonewa na Uongozi wa Chuo cha Mwl Nyerere-Kigamboni.

Uzalendi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
221
Reaction score
15
Mimi ni mwanafunzi niliyesoma Chuo cha Mwl Nyerere, nimeandamwa baada kutoa ushahidi wa Mwl aliyeniomba rushwa ya ngono. Nilirekodi tukio lote kwa kutumia simu na hadi nina sms niliyomtumia hela mwl huyo fisadi, cha ajabu niligeuziwa kibao kwa Mwl huyo kutetewa na hawara wake ambaye alikuwa kama Mwl wa nidhamu. Yule Mwl alisimamishwa lakini baadaye alirudishwa kazini na kuja kuendelea kuniandama. Kwa tukio hilo lililonitokea sitadhubutu kumshauri ndugu yangu kusoma katika chuo hicho, uongozi wa chuo unatetea rushwa ya ngono na fedha kwa wanafunzi masomoni ni kitu cha ajabu katika taasisi ya elimu yenye jina la Baba wa taifa. Naomba msaada wenu ili tukomeshe tabia hii katika taasisi za elimu hapa nchini.
 
Hapa nchini kuna vitu vya ajabu sana...yani uovu badala ya kusimamiwa then unatetewa kwa udi na uvumba....sijui mwisho wa hizi dhulma ni lini...yaani....inaudhi sana!! Sina cha kukusaidia lakini I can feel the situation
 
Pole sana ndugu, natumaini wahusika wamesikia watakusaidia.

Umesema kweli, kwa sasa dhuluma ni kila mahali.
Hapa nchini kuna vitu vya ajabu sana...yani uovu badala ya kusimamiwa then unatetewa kwa udi na uvumba....sijui mwisho wa hizi dhulma ni lini...yaani....inaudhi sana!! Sina cha kukusaidia lakini I can feel the situation
 
Mimi ni mwanafunzi niliyesoma Chuo cha Mwl Nyerere, nimeandamwa baada kutoa ushahidi wa Mwl aliyeniomba rushwa ya ngono. Nilirekodi tukio lote kwa kutumia simu na hadi nina sms niliyomtumia hela mwl huyo fisadi, cha ajabu niligeuziwa kibao kwa Mwl huyo kutetewa na hawara wake ambaye alikuwa kama Mwl wa nidhamu. Yule Mwl alisimamishwa lakini baadaye alirudishwa kazini na kuja kuendelea kuniandama. Kwa tukio hilo lililonitokea sitadhubutu kumshauri ndugu yangu kusoma katika chuo hicho, uongozi wa chuo unatetea rushwa ya ngono na fedha kwa wanafunzi masomoni ni kitu cha ajabu katika taasisi ya elimu yenye jina la Baba wa taifa. Naomba msaada wenu ili tukomeshe tabia hii katika taasisi za elimu hapa nchini.

NDUGU ZANGU MARA KADHAA NIMEKUWA NIKISEMA HAPA JUU YA UBABE ANAOUFANYA HUYU MKUU WA WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE,DK JOHN MAGOTI, KWA UBABE WAKE KWA WALIMU WENZAKE WA ZAMANI HAPA CHUO NA VITISHO MBALIMBALI ANAVYOTOA PALE ANAVYOAMBIWA UKWELI,UTASEMA ANA HISA NA KIKWETE NA ubia kwenye urais wake

NIMESIKITIKA SANA HIVI KARIBUNI KAMATI YA BUNGE ILIKITEMBELEA CHUO BRANCH YA DSM na ya zanzibar na walishangaa sana kwa jengo la ghorofa 5 la chuo cha zanzibar limeanza kuvuja na liko upande,mkandaras akiwa karibu ameshalipwa pesa zote za ujenzi,taarifa zilizopo ni kuwa kampuni ambayo imejenga majengo hayo ambayo inajenga hostel zilizopo brabch ya chuo ya kigamboni DSM NA JENGO HILO LA ZANZIBAR ni kampuni ambayo DK MAGOTI NA MSAJILI WA CHUO BWANA LUAMBANO WANAHISA KWA MGONGO WA NYUMA NA KILA TENDA UHAKIKISHA KUWA KAMPUNI HIYO NDIO WANAPATA KWA MAKUBALIANO YA 40%

KAMATI YA BUNGE IMEAMURU kuwa wanapaswa kujieleza na fedha zilizobaki mkandarasi asipewe,,,,,,,kwa masikio yangu juzi nimemsikia bwana huyu akisema kuwa hakuna wakumtisha katika nchi hii amekuwa kada wa CCM kwa muda mrefu sana na atakula mpaka atakapo staafu na akiamua kuongeza muda anaweza"

kukiwa na taarifa kuwa bwana huyu anabebwa na msaidizi 1 wapo wa ikulu kama ilivyokuwa kwa mama mipango yule aliekuwa anagoma kuondoka pale chuo cha ustawi wa jamii,mzee huyu ameshatolewa taarfa nyingi sana lakini TAKUKURU NA MIZENGO PINDA WAKIJA HAPA CHUONI WANAKUJA KUFUNIKA UFISADI HUU

MFANO, yupo mwalimu anaitwa mwalimu BUKUKU alikamatwa kabisa akidai rushwa kwa mwanachuo ya ngono na pesa ,lakini Magoti alikataaa swala hilo na kumsimamisha mwalimu huyo kwa wiki moja tu na baadae mwalimu huyo alimfelisha mwanachuo huyo na akarudia mwaka,MWALIMU BUKUKU MPAKA SASA YUPO CHUO NA ANATAMBA kuwa mpenzi wake sarah mwakyambiki atamtetea kwenye bodi ya chuo,sara sasa ameteuliwa kuwa mkuu wa shuo cha tawi la zanzibar

LEO NITASEMA KWA UCHACHE JUU YA UFISADI WA BWANA LUAMBANO NA DK MAGOTI NA KWA USHAHIDI NITAWEKA HAPA WARAKA WA SERIKALI AMBAO MAGOTI ALIUVUNJA NA AKISEMA KUWA HAKUNA WAKUMFANYA KITU.

MZEE HUYU MAGOTI AMEKUWA AKITUMIA NAFASI YAKE YA KUAMINIKA NA MWENYKT WA BODI DK SALIM AHMED SALIM AMBAE AMEKUWA MARA ZOTE HANA NAFASI YA KUSIMAMIA CHUO HIKI KUTOKANA NA MAJUKUMU MENGINE ALIONAYO.

UKISOMA KOPI NILIYOAMBATANISHA YA WARAKA WA SERIKALI UTAONA KUWA serikali imeagiza kuwa wanachuo wote wenye bima za matibabu wasichangishwe tena gharama za mataibabu na KWA wale ambao hawajajiunga na mfuko wa bima,wakichangishawa basi ktk vyuo vyote vya umma zahanati za vyuo husika vitajiunga na mfuko wa bima ya afya na mwanachuo atalipa kiasi kisicho zidi elfu 60 na atapewa bima ya matibabu.

DK Magoti na Luambano wamekuwa wakichangisha sh lingi la kimoja kila mwaka,MWANACHUO AUMWE AU ASIUMWE KILA MWAKA LAZIMA ALIPE, toka mwaka 2010 mpaka hivi sasa. wakihaidi kuwa watarejesha pesa hizo za wanafunzi hao baada ya kulipwa kwenye akaunt.SWALA AMBALO HADI SASA HALIJATENDEKA, NA CHUOONI WAALIMU TUNAAMBIWA KILA SIKU HAKUNA PESA NA HAKI STAILI ZETU MBALI MBALI HATUWEZI KUPATA. jumla ya wanachuo waliochangishwa kila mwaka wanakaribia zaidi ya 380 so utaona magoti na luambano wamekula pesa za wanachuo karibu milion 50 kila mwaka tangu mwaka 2010,NA WANACHUO WENGI WANAMALIZA CHUO WAKATI PESA HIZO HAZIJA REJESHWA
NAAMINI WOTE TUMESIKIA JUU YA MADUDU YA MKUU WA CHUO CHA TIA ARUSHA,AMBAE GAZETI LA RAIA MWEMA LILIMUANDIKA SANA, SASA AMEONDOLEWA CHUONI, LAKINI HUYU MAGOTI ANASEMA ANAUBIA NA KIKWETE, HAKUNA WAKUMFANYA KITU.

Luambano ambae ni msajili wa chuo, sasa ni tajiri mkubwa sana amamiliki tax zaidi ya 10,anascania semitraila 2 amanunua shamaba karibu ekari 200 rufiji na hutumia gari ya chuo kwendea ktk shamba lake,,,, )anaejaribu kufatilia atafute muda mzuri azungumze na madereva wa chuo watamwambia kila kitu mradi wahakikishiwe usalama wake

juzi mtoto wa Magoti alikuwa anaenda kutoa posa gari, la chuo na mafuta ya chuo yametumika kwneda kutoa posa ya mtoto wake Arusha na baadae Musoma,NISAN PATROL

magari ya chuo utumika kwenda kuwabeba watoto wa Luambano kuwapeekea na kuwarudisha shule, fikiria basi zima isuzu journey inatumika kumbemba mtu 1 na njian atakama kunanvua, haibebi mwanachuo, dreva atakuambia kuwa tumezuiwa kubeba mwanachuo na wakumbwa so bas zima mtoto 1 WA BOSI TU,,,WANAFUNZI WA CHUO AMBAO WAPO JF WATAKIRI HILO.

HUYU LUAMABANO NDIO YULE ALIEAJIRIWA HAPA CHUONI AKIWA NA MAIAKA 40 KINYUME NA taratibu za serikali akitokea kufukuzwa katika kile kiwanda cha kahawa na chai alicho kifilisi.

LUAMBANO NA MAGATI NDIO WALIOMUAJIRI BWANA MHAGAMA KWA CHETI BANDIA AKIWA NI NDUGU WA LAUAMBANAO WAKAMSOMESHA DIGRII KWA FEDHA ZA CHUO,MASTAZ NA PHD NA TULIPOSEMA HAPA WAKAMUONDOA KAZINI KWA TANGAZO KUWA AMEAMUA KUACHA KAZI MWENYEWE NA MPAKA LEO SI MAGOTI WALA LUAMBANO WALIOCHUKULIWA HATUA NA WAZIRI WA ELIMU WALA PINDA AMBAO WOTE WANALIJUA HILI

MH NAPE NNAUYE ALISHWAHI KUSOMA KTK CHUO HIKI NA ANAJUA KUWA MAGOTI NI FISADI TANGU ENZI NAPE AKISOMA HAPA .NAPE KWA WAKATI HUU EBU JARIBU KUMSEMEA MTU HUYU AONDOLEWE HAPA

MTAKUMBUKA NILIPOST HAPA SIKU ZA NYUMA KIDOGO KUHUSU MKUU HUYU WA CHUO, BWANA KISENA MABUBA AMBAE ni afisa mitihani hapa chuoni, alimtetea Magoti kwakuwa anajua ndie aliemuajiri hapa chuoni kwa kimemo toka kwa mkubwa mmoja wa serikali,HUYU MABUBA NAE ANATUHUMA NYINGI SANA ZA KULA RUSHWA AKIENDELEA KUTUUZI KWA KUTETEA UOZO TUTAMUANIKA HAPA, ATA SKENDO ILE YA KUMPA CHETI NA MATOKEO YA KUGUSHI MWANACHUO AMBAE ALIFELI, NA KUWAFAULISHA BAADHI YA WANACHYOI AMBAO WANAFELI,MABUBA SASA ANAGARI NA NYUMBA KILA MTUA ANASHANGAA KAVITOA WAPI,,,,RUSHWA RUSHWAAAA.

NAAMBATANISHA HAPA WARAKA WA SERIKALI

Wana JF

Mimi ndiye Kisena Magena Mabuba, mmoja wa watajwa katika post hii. Hapa sijaja kukanusha wala kukubaliana na mleta post bali kutaka kufahamisha umma usuri au weredi wa post hii na mletaji.

Mleta mada sio mara moja au mbili ameleta tuhuma kama hizi hapa. Siku zote hizo hakuwahi kunitaja mimi katika huu anaouita ufisadi. Napenda mleta mada ajue watanzania wa sasa wako makini na hususan humu JF. JF ni sehemu ya watu weredi na wenye taaluma na wasio na taaluma hukutana na kujadili. JF si Facebook ambako watu hujadili umbea.

Mleta mada mara zote watu hukuambia unaandika kama mwanafunzi ambaye anajifunza kuandika, kwa maandishi yako haya unafahamika vizuri kwani mara nyingi unaandika kama unaongea. Hii inadhihirisha jinsi gani ulivyochapwa kitaaluma. Uwezo wako kitaaluma siku zote ndivyo ulivyo, hamia kwenye siasa kama ulivyohamia sasa, wadanganye wana CCM kwa sasa lakini hutawadanganya siku zote.

Nikija kwenye tuhuma ulizonituhumu, mimi si mtetezi wa mtu fisadi hata siku moja wewe mwenyewe wajua, kweli kwangu ndio msingi wa maisha yangu. Dr. Magotti siwezi mtetea anajitetea mwenyewe kwa utendaji wake uliotukuka na si vinginevyo. Hapa sitaki kuingia ndani, kwani kwa wanamfahamu vizuri Dr. Magotti wanajua utendaji wake kwa serikali na CCM, hivyo kupost hapa ----- ni sawa ni kupoteza muda.

Eti Dr. Magotti hawezifanywa lolote na JK. Kwanza hapa ni kumdharirisha Mh. Rais, yaani ameteua mtu asiyeweza kumwajibisha? Hiki kitakuwa ni kituko cha mwaka. Dr. Magotti anajua wajibu wake kwa Rais, Wizara, Bodi, wanaMNMA na hata Watanzania, atakuwa mjinga kiasi gani, aje kwako TUMAIN aseme eti Rais hawezi mwajibisha. Hapa hebu jipange vizuri, kwani hata mtoto wa darasa la tatu hawezi kukubalina na wewe.

Luambano na Dr. Magotti wanashare kwenye kampuni, hapa mwenyewe unajikanyaga hata wachangiaji wameliona hili. Uwe na hisa halafu uombe 40% hivi unajua unachokisema, mdogo wangu hata Diploma uliyosoma haijakusaidia, acha kututia aibu wana MNMA bhana. Sasa kama hili unashindwa kulipambanua huko kwenye chama chetu (CCM) utafanya nii?

Huu utajiri wa Luambano basi unatisha, kwani kila ukipost unataja aina mbalimbali za magari, mara fuso leo tena semitraila. Luambano atakuwa anatisha na ukwasi alionao. Simtetei bali maisha anayoyaishi, basi ni tajiri bahili hata kwa familia yake na yeye binafsi

Mabuba fisadi kanunua gari na kajenga nyumba, hiki ni kichekesho tena vizuu tu wasio masikio, macho na hata mdomo waweza kushabikia hapa. Mimi ni mwajiriwa wa serikali tokea mwaka 2002, unategemea nisinunue gari au kujenga nyumba. Hivi kwa akili yako Assitant Lecturer haezi nunua gari? Hebu pita chuo chochote kile watu mwenye cheo hicho hawana magari kweli, hajajenga nyumba kweli? Huu ni uhaba wa mawazo mshahara wangu wa Zaidi ya milioni 2 nikienda benki naweza kopa shilingi ngapi? Kwa wana JF mimi nipo kwenye ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu tena ya kawaida kabisa ambayo naamini watu wenye hadhi yangu wanazo au wanajenga nyumba nzuri sana, gari ninalo aina ya Toyota Vista Ardero.

Kisena Mabuba mwajiriwa wa kimemo. Kicheko kingine, niliona tangazo, nikaomba, nikaitwa, nikafanya usaili nikaitwa kazini kwa sifa na sivinginevyo. Najivunia elimu yangu na uchapakaazi wangu popote nilipopita katika kazi zangu.

Hakuna kitu chenye ushahidi mzuri, kama suala la mtu kuuza vyeti au kugushi vyeti. Nimekuwa mstari wa mbele kuhakikisha hili halifanikiwa hata mleta mada unajua fika. Siku zote nimeamini katika kweli na nitaisimamia kweli. Mleta mada nakuomba kwa DHATI kabisa kama unaoushahidi wa suala hili peleka kwenye vyombo vya dola. Pili peleka kwa NAPE kama ulivyosema, Tatu mwaga hapa JF kwenye think tankers ili ukweli ujulikane, mimi niko tayari kuwajibika kwa ushahidi hata wa mtu mmoja ambaye hata kwa bahati mbaya nilifanya hivyo kwa cheti ama kumfaulisha mtu.

Wana JF nimalize kwa kusema mwandishi wa post hii sio mwalimu wala mfanyakazi wa MNMA bali alishawahi kuwa mwanafunzi wa MNMA. Mara zote kizuu hudhani watu wote ni vizuu, kwa kuwa yeye ni kizuu.

Kisena Magena Mabuba
 
Aisee kumbe matukio yao ni mengi hivi, naamini wahusika wameipata na watachukua hatua za haraka kuepusha ufisadi na aibu kwa taasisi hii ya umma.

Chuo hiki kinaangamia polepole na kisipoangaliwa kitashuka hadhi kabisa kutokana na uongozi mbovu na walimu wanaoendekeza rushwa ya ngono.
 
Nitatoa taarifa kwa wote ninaowafahamu wasiwapeleke watoto wao kwenye jehanamu hii ya ufisadi ngono katika elimu.
 
Serikali iendeshe haraka uhakiki wa vyeti maana kuna walimu wengi kwenye taasisi za elimu ya juu wamefoji vyeti, wengi wao ndio hawana maadili na kuendekeza rushwa ya ngono/pesa.
 
Mimi ni mwanafunzi niliyesoma Chuo cha Mwl Nyerere, nimeandamwa baada kutoa ushahidi wa Mwl aliyeniomba rushwa ya ngono. Nilirekodi tukio lote kwa kutumia simu na hadi nina sms niliyomtumia hela mwl huyo fisadi, cha ajabu niligeuziwa kibao kwa Mwl huyo kutetewa na hawara wake ambaye alikuwa kama Mwl wa nidhamu. Yule Mwl alisimamishwa lakini baadaye alirudishwa kazini na kuja kuendelea kuniandama. Kwa tukio hilo lililonitokea sitadhubutu kumshauri ndugu yangu kusoma katika chuo hicho, uongozi wa chuo unatetea rushwa ya ngono na fedha kwa wanafunzi masomoni ni kitu cha ajabu katika taasisi ya elimu yenye jina la Baba wa taifa. Naomba msaada wenu ili tukomeshe tabia hii katika taasisi za elimu hapa nchini.

Nenda central polisi dawati la jinsia au TAKUKURU haki itatendeka.
 
Asante kwa ushauri maana nakerwa sana na ufisadi huu wa hali ya juu katika elimu Chuoni hapo.
Nenda central polisi dawati la jinsia au TAKUKURU haki itatendeka.
 
Lakini jamani inaonekana Uongozi wa Chuo hiki unatumia fedha nyingi kuhonga kuhakikisha sipati haki yangu kama mwanafunzi maana kila mahali nikienda nazungushwa. Naomba wanasheria wajitokeze kunisaidia maana ushaidi wote wa kurekodi na vielelezo vingine ninavyo.
 
pole sana ndugu yangu MUNGU NI MWAMINIFU ukweli utadumu milele usijali utafanikiwa usikate tamaa maana umeokoa roho nyingi za watoto wetu wa kike kwa maana wewe ni mfano wa kuigwa.
 
Asante, ila ningepata wanasheria wa kunisaidia ningefarijika ili nidai haki yangu.
pole sana ndugu yangu MUNGU NI MWAMINIFU ukweli utadumu milele usijali utafanikiwa usikate tamaa maana umeokoa roho nyingi za watoto wetu wa kike kwa maana wewe ni mfano wa kuigwa.
 
Nenda TAWLA. Utapata msaada wote wa kisheria. Tena kesi kama yako wanazipenda sana.
 
Asante kwa ushauri maana nitahakikisha uozo huu unakomeshwa ili isiwakute wengine na ikiwezekana hilo danguro la elimu lifungwe.

pole kwa yote hayo ila ni maisha, nenda kwa TAWLA au TGNP ila ukiona wanakuzengua basi unaweza kuniambia kwani ni wakili pia naweza kukusaidia hata japo kidogo. Ni vielelezo gani unavyo?
 
Sawa nitumie mawasiliano nikutafute, vielelezo rekodi ya maongezi ya simu, kutuma hela kwa simu na zingine nyingi utaziona tukiwasiliana.

Back
Top Bottom