Ushauri wa kisheria kwa Mzazi mwenzangu

Ushauri wa kisheria kwa Mzazi mwenzangu

Duuh.. anakuona wewe ni muoga sana na hujiamnini..

Wanawake wenye fujo na matusi hivi ...ilikurudisha uanaume wako wanahitaji kipigo kimoja matata sana yani ukimpiga kisawa sawa akalazwa Hospital baada ya siku kadhaa akirufi nyumbani baada ya kuruhusiwa ..

lazima respect irudi atakuwa anakuheshimu na kukuogopa.. !!
Tofauti na hapo endelea kulea ujinga eti anakujia na kisu.. huyo anajitoa ufahamu..
Unatakiwa siku umbadilikie sana hadi haisi umechanganyikiwa..

Na baada ya hapo .. week mbili 3 mpige mzigo kisha achana naye mpe misimao yako kuhusu mtoto na aifuate acha kupangiwa nini cha kufanya hiyo ndio njia pekee ya kudeal naye..
Hapo hamtakuwa mnazinguwana..

Tofauti na hapo atakuharibia maisha ukicheka cheka nae na vikao vyako vya kila siku...
Inamaana huwezi kufanya maamuzi sahihi hadi uanze mavikao sio kilakitu nichakudiscuss na watu wengine hasa kama vinawahusu baba na mama...
 
Fanya umrudie umpige bakora za uhakika tuone kama hutapata amani.

Na huyo atakuwa mke wako wa pili usipoangalia vizuri. Hayo yote ni hasira tu.
weee bro una akili sana! una miaka mingapi kwani
 
Toa taarifa polisi ......
ili siku akiingia 18 zako unamchapa bara bara kwa Ku invoke self defense
Na ndio nilichofanya nimereport polisi hapa nina RB siku akijichanganya hana bahat sitachagua kitu cha kumpiga nacho[emoji21]
 
Mwanamke akiamua shetani huwa anakaa pembeni kujifunza, kuwa makini, maumivu uliyomwachia usichukulie poa
 
Mimi nina nyundo zangu 37 sema nimejifunza mengi kupitia uzoefu wangu wa maisha.
Kashemeji kako jack! Bana kanasumbua sumbua mara unaishi wapi siku hizi! leo nije mara ivi! mara katukane, mara jae kazini mwee! sasa nalegeza kamba rasmi.......
 
Habar za asubuhi wapendwa

Kama kichwa cha habarI kinavyosema naombeni ushauri wa kisheria,

Ipo hivi kuna binti nilizaa naye mtoto mmoja wa kiume kutokana na tabia zake haikuwezekana kuishi pamoja. Sasa huyo mzazi mwenzangu amekuwa ni mtu wa shari shari muda wote na hii tabia ndio mojawapo ya sababu za kushindwana.

Najaribu kufupisha story kidogo mnielewe ili niende kwenye points,kuna wakat nilistopisha huduma kwa mtt na nikamwambia kama vp huyo mtt nimempa bure na sababu za kufanya hivyo ni tabia ya kutukana bila sababu,yaan hawezi kipiga sim kistaarabu akanieleza labda mahitaji ya mtt,unaweza kupokea simu yake neno la kwanza ni tusi.

Kweli nilikuwa nakereka sana,baada ya kuona matusi yamezid niliwasiliana na mmoja wa ndg zake nikamweleza hali halisi na nikamwambia kuanzia ss hivi huyo sitoi huduma yeyote kwa mtt acha nibaki kuwa baba jina tuu,ila kama yupo tayar anipe mtt wangu muda wowote akihitaji kumuona hamna tatizo sababu kwa upande wangu hata kumuona mtt ni inshu,kweli yule ndg yake alifanya juu chini akatukutanisha,katika mazungumzo yetu mm nilihitaji nipatiwe mtt tuu na nikatoa sababu za kuhitaji nipewe mtt na ndio ulikuwa msimamo wangu ila yy aligoma kutoa mtt na hakua na sababu za msingi,

Mwisho mwisho wa mazumgumzo na kwa ushauri wa ndg yake aliniomba nisubir mtt afikishe miaka 7 basi nifuate taratibu za kisheria niweze kupewa mtoto ILA ana ombi moja,kwakuwa mtt bado miaka 2 afikishe 7 na mwishon mwa huo mwaka ambao tulikutana kwenye mazungumzo mwaka unaofuata mtt alitakiwa aanze darasa la kwanza sababu alishaanza nursery, Ombi/wazo la huyo ndg nimlipie mtt ada kwa muda wa hio miaka 2 pamoja na bima ya afya basi,suala la chakula/malazi alisema anachokula mama yake ndio hicho hicho atakula na mtoto

Mimi nilikubaliana na hilo wazo,ss huu mwaka umeanza kijana ameingia la kwanza ila ss mzazi si kaendelea na tabia zile zile na kunitext sms za matusi na mpaka amefikia mahali anawahusisha mpaka ndg zangu,imefika mahali nimezoea maneno yake ila kilichonileta hapa kuomba ushauri wa kisheria amefika mahali anafanya kama ananiwinda huku anatembea na kisu kwenye mkoba,akisikia nipo mahali ananifuata hapo tena akiwa amelewa,mm ninachofanya namkwepa ila imefika mahali naona imekuwa too much kweli anaweza akaniotea akanijeruhi au mm kama binadamu sitakubali anishambulie lzm nita revenge na ktk harakat za kujilinda kuna uwezekano nikamwuumiza,

Mwisho wa siku awe ama amenijeruhi kama anavyosema au nimwuumize mm ndio nitaingia kwenye matatizo,hivyo ninahitaji kupata ushaur/uzoefu kwa waliopitia hii hali,je kuna taratibu zozote za kisheria ninazoweza kuzifuata ili hata asiweze kunifuata na kuleta fujo na ikitokea nina uwezo wa kumuadhibu bila sheria kunitia hatiani?,naombeni ushauri wenu,

Hii ni mojawapo ya text zake,"Nakuahidi mm nitaenda magereza kwa ajili yako kama si leo itatokea tuu ila ww utaenda kaburini"

Karibuni kwa ushauri,muwe na jpili njema watu wa Mungu
Si swala zuri kufikishana polisi au mahakamani na mwenza, lakini inapofikia tatizo limevuka mipaka hasa kufikia hatua yakutishiana mausha basi hunabudi kuchukua hatua zaidi ili kuwekasalama maishayako.

Kwasasa unapaswa kwenda polisi kwajili yakutoa taarifa juu ya vitisho anavyovitoa dhidiyako ili litakapotoea lolote basi aweze kuwajibishwa, pili hii inaweza kufanya aogope kutoatena vitisho kwani atajua fiki lolote litakalotokea yeye atawajibishwa.

Kuhusu mototo, sheria inaangalia sana usitawi wa mtoto mbali naumri pia swala la mazingira, nani anamlea mtoto nk. Nivitu vinavyotazamwa na mahakama ilikuweza kutoa tamko nani anapaswa kukaa na mtoto.

Hivyo basi, kama unahitaji kukaa na mwanao nenda mahakamani then wao watatoa order ili wewe ukae na mtoto.
 
Duuh.. anakuona wewe ni muoga sana na hujiamnini..

Wanawake wenye fujo na matusi hivi ...ilikurudisha uanaume wako wanahitaji kipigo kimoja matata sana yani ukimpiga kisawa sawa akalazwa Hospital baada ya siku kadhaa akirufi nyumbani baada ya kuruhusiwa ..

lazima respect irudi atakuwa anakuheshimu na kukuogopa.. !!
Tofauti na hapo endelea kulea ujinga eti anakujia na kisu.. huyo anajitoa ufahamu..
Unatakiwa siku umbadilikie sana hadi haisi umechanganyikiwa..

Na baada ya hapo .. week mbili 3 mpige mzigo kisha achana naye mpe misimao yako kuhusu mtoto na aifuate acha kupangiwa nini cha kufanya hiyo ndio njia pekee ya kudeal naye..
Hapo hamtakuwa mnazinguwana..

Tofauti na hapo atakuharibia maisha ukicheka cheka nae na vikao vyako vya kila siku...
Inamaana huwezi kufanya maamuzi sahihi hadi uanze mavikao sio kilakitu nichakudiscuss na watu wengine hasa kama vinawahusu baba na mama...
Huu ushauri sio mzuri, kwasababu sheria zipo, tena kwa nchi yetu hutetea sana upande wa mwanamke... Usimshauri mtu hivyo
 
Back
Top Bottom