lost password
Member
- Sep 30, 2018
- 32
- 23
Nina shangazi yangu ni mtumishi wa halmashauri fulani huko Songea. Yeye aliwahi kuchukua mkopo katika bank inayoanziwa na jina N.... Baada ya muda kadhaa alienda kufanya top up ya mkopo wake. Lakini cha ajabu siku hela zinaingia aliingiziwa kiasi kikubwa mara nane ya kile alichotakiwa kupata. Kwa busara zake hakuzigusa zile hela akasema ataziacha mpaka mwezi uishe. Baada ya mwezi kuisha zile hela zilikua bado kwenye akaunti hivyo akajua kabisa ni bahati yake.
Baada ya muda benki wakamtafuta na kuanza kumdai zile hela ambazo tayari ameshazitumia.
Je hapo kosa ni la benki au kosa ni lake?
Kwa nini bank waliacha pesa hizo zikae mwezi mzima kwenye akaunti ya mtu asiyehusika?