Alex Katto
Senior Member
- Mar 3, 2013
- 155
- 20
Nilinunua pikipiki then nikampa mtu kwa mkataba wa kuniletea elfu kumi kila siku na matengenezo ni yake, ila baada ya mwaka pikipiki inakuwa yake, lakini mtu huyu anaweza kukaa siku tatu ajaleta ela na akija analeta nusu, nataka nvunje mkataba.
Je sheria ipo kwangu au kwake?
Je sheria ipo kwangu au kwake?