haya ni masuala ya namba mkuu. Inakuwa vigumu kutoa ushauri bila kujua vitu kama interest, kiwango cha mkopo, muda wa kulipa, penalty ya kusitisha mkataba, monthly charges, other benefits etc.Amani iwe Kwenu wapendwa, jana nilitembelewa na jamaa angu akiomba ushauri.
Alikuwa amekopa mkopo bank miezi 6 iliyopita, sasa kuna asasi ya mikopo eti inataka kununua deni alilokopa bank . Sasa amekuja kwangu ili kujua faida kwake ni ipi kama jamaa watanunua kweli hili deni, na hasara kama zipo, nami sio mtaalamu wa haya masuala.
Mwenye utaalamu tafadhali.