ninaomba ushauri wa kitaalam! ni jinsi gani ninaweza kuanzisha small industry ya kusindika maziwa ya ng'ombe na kuandaa (kupack) product zitokanazo na maziwa.
- ni wapi ninaweza kupata mashine kwa ajili ya kazi hizo?
- ni wapi naweza kupata utaalamu kwa shughuli hiyo? i.e jinsi ya kuandaa na kupack,jinsi ya kuchanganya preservative, jinsi ya kukagua maziwa yaliyowekwa maji, jinsi ya kuitangaza na kusambaza biashara hiyo
- plan yangu nianze na lita 500 kwa siku.
- je nahitaji initial cost kiasi gani kwa ajili ya kurun hiyo biashara