Ushauri wa kitaalamu katika kujidhatiti kibiashara

Ushauri wa kitaalamu katika kujidhatiti kibiashara

mbeya

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
30
Reaction score
6
ninaomba ushauri wa kitaalam! ni jinsi gani ninaweza kuanzisha small industry ya kusindika maziwa ya ng'ombe na kuandaa (kupack) product zitokanazo na maziwa.
  • ni wapi ninaweza kupata mashine kwa ajili ya kazi hizo?
  • ni wapi naweza kupata utaalamu kwa shughuli hiyo? i.e jinsi ya kuandaa na kupack,jinsi ya kuchanganya preservative, jinsi ya kukagua maziwa yaliyowekwa maji, jinsi ya kuitangaza na kusambaza biashara hiyo
  • plan yangu nianze na lita 500 kwa siku.
  • je nahitaji initial cost kiasi gani kwa ajili ya kurun hiyo biashara
naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom