Ushauri wa Kitaalamu na mtaji wa Kulima Mihogo Wilaya ya Mkuranga

Ushauri wa Kitaalamu na mtaji wa Kulima Mihogo Wilaya ya Mkuranga

SENGATI

Senior Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
127
Reaction score
26
Kaka yangu amehamishiwa dodoma, ameniachia shamba la ekari zaidi ya 10 huko mkuranga (mwarusembe), nataka nifanye kilimo cha kisasa.

Shamba hilo lilikuwa pori kubwa tu but nimelifyeka tayari na kulisafisha lakini nimekosa mtaji wa kuendelea kununua mbegu, kupanda na mahitaji mengine ya ustawishaji.

1. Kwa mtu yeyote mwenye ushauri wa kitaalam naomba anipe A.B.C ya kilimo hiki coz nimedhamiria kujikita kwenye kilimo kweli kweli

2. Kwa yeyote mwenye mtaji na anatamani awekeze kwenye kilimo cha mihogo kwa ekari zaidi ya 10 asisite kunipm tufanye kilimo cha kisasa. Kilimo ni ajira

Natanguliza shukrani kwenu wanajf makini
 
Kwenye hicho unacho taka kufanya fikiria zaidi upate utaaramu na siyo mtaji.
Tusi kalili kila kitu ni tatizo mtaji tuna kuwa tunakosea
 
Back
Top Bottom