Ungekuwa haufugi mbuzi katoliki ningekushauri uende halmashauri kwa afisa biashara akukatie leseni kisha tra, baada ya miezi michache unakopesheka benki, ila kwa kuwa unamfugo nashindwa kusema lolote kwa sasa.
Ndugu Wanajamvi Mie Ninayo Mashine Ya Kukoboa Na Kusaga Ipo Kijijini Kwa Siku Si Haba Inanipa Siyo Chini Ya Tsh.15000,naomba Msaada Wa Namna Ya Kuirasimisha Ili Niweze Kuiendesha Kibiashara Ili Niweze Hata Kupata Mkopo Kwenye taasisi Za Kifedha,napia Nimeanza Kufuga Wale Mbuzi Katoliki Kwa Sasa Wapo 9 Wa Rika Tofauti,shukran Kwa Mawazo Na Changamoto Pia Mtakazo Nipa.