Ndugu Wanajamvi Mie Ninayo Mashine Ya Kukoboa Na Kusaga Ipo Kijijini Kwa Siku Si Haba Inanipa Siyo Chini Ya Tsh.15000,naomba Msaada Wa Namna Ya Kuirasimisha Ili Niweze Kuiendesha Kibiashara Ili Niweze Hata Kupata Mkopo Kwenye taasisi Za Kifedha,napia Nimeanza Kufuga Wale Mbuzi Katoliki Kwa Sasa Wapo 9 Wa Rika Tofauti,shukran Kwa Mawazo Na Changamoto Pia Mtakazo Nipa.