Ushauri wa kiuagugu kizuri kwa ajili ya kuua nyasi zilizo ota shambani ili niweze kupanda mahindi

Ushauri wa kiuagugu kizuri kwa ajili ya kuua nyasi zilizo ota shambani ili niweze kupanda mahindi

Foxhunters

Senior Member
Joined
Nov 25, 2019
Posts
160
Reaction score
108
Habari ya asubuhi wakuu,kwa mwenye uzoefu nimelima shamba ekali 3 za hatua 70*70

Nililima mapema sana mwezi wa 10 sasa majani yameota mengi sana kabla sijapanda mbegu kiasi kwamba nikipanda itakuwa hasara .

Nimeamua kuja na hiyo njia ya kupulizia kiuagugu Niue majanj ndiyo nipande mbegu.

Ushauri wa kiuagugu kizuri,kiasi cha dawa ya kutosha ekari 3 ,bei yake na muda gani unafaa kupanda mahindi baada ya kupulizia Shamba lipo kibondo-kigoma
 
Back
Top Bottom