Mhimili uliojichimbia
Senior Member
- Jul 2, 2017
- 172
- 191
Kutokana na taarifa ya kuondoka kwa mshambuliaji wa kimataifa wa club ya Simba, Emmanuel Arnold Okwi nikiwa mtanzania mzalendo na mwenye kuitakia mafanikio timu pekee inayowakilisha Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye kombe la mabingwa barani Afrika, naishauri kamati ya ufundi ya timu ya simba kuanza mkakati wa kumnasa mshambuliaji mahiri wa timu ya Nkana F.C Walter Bwalya kwenye dirisha dogo la usajili la CAF, hii itasaidia kuziba pengo hilo.
Bwalya ni mchezaji mwenye uwezo mzuri na uzoefu wa kutosha kuitumiakia Simba inayokabiliana na mechi ngumu za CAF.
Bwalya ni mchezaji mwenye uwezo mzuri na uzoefu wa kutosha kuitumiakia Simba inayokabiliana na mechi ngumu za CAF.