Hana hadhi ya kuichezea Simba. Labda kidogo Idris Mbombo wa Al Hilal Omdurman.Ni finisher mzuri aliyewahi kuwa mfungaji bora wa ligi ya Zambia.Walter Bwalya ataziba pengo !!!
Sina wasiwasi na jopo lililopewa jukumu la kufanya usajili.
Watasajili wachezaji wa hadhi ya Simba.