Mhimili uliojichimbia
Senior Member
- Jul 2, 2017
- 172
- 191
Habari za kuondoka Okwi ni habari ambazo sio rasmi.Kutokana na taarifa ya kuondoka kwa mshambuliaji wa kimataifa wa club ya Simba, Emmanuel Arnold Okwi nikiwa mtanzania mzalendo na mwenye kuitakia mafanikio timu pekee inayowakilisha Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye kombe la mabingwa barani Afrika, naishauri kamati ya ufundi ya timu ya simba kuanza mkakati wa kumnasa mshambuliaji mahiri wa timu ya Nkana F.C Walter Bwalya kwenye dirisha dogo la usajili la CAF, hii itasaidia kuziba pengo hilo.
Bwalya ni mchezaji mwenye uwezo mzuri na uzoefu wa kutosha kuitumiakia Simba inayokabiliana na mechi ngumu za CAF.
Hivi kaiser chiefs bado wanamtaka tu? Walimtaka 2011 tena 2014 na 2018 tena? Nilifikiri wanahitaji vijana zaidi maana sasa hivi wameachwa kabisa na mamelod sundown ma orlando pirates! Kama uwekezaji ni wa wachezaji waliowataka toka 2011 basi wana haki ya kuburuzwa.Mtoa habari katoa habari kwa kukurupuka bila kuzingatia nidhamu ya utoaji habari yenyewe. Swala la okwi sio kwamba ameondoka au anatarakia kuondoka hapana!! Ila ni kwamba timu ya Kaiser chiefs wanahitaji huduma yake na mazungumzo kati ya timu mbili yaendelea.
mkuu sheria zitamruhusu acheze kweli....lkn m naona ni wakati wa kumpa mechi za ligi za kutosha yule rashid juma na salamba (ili wawe fiti zaidi)....maana naona kama mh. bocco pumzi imekata...Kutokana na taarifa ya kuondoka kwa mshambuliaji wa kimataifa wa club ya Simba, Emmanuel Arnold Okwi nikiwa mtanzania mzalendo na mwenye kuitakia mafanikio timu pekee inayowakilisha Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye kombe la mabingwa barani Afrika, naishauri kamati ya ufundi ya timu ya simba kuanza mkakati wa kumnasa mshambuliaji mahiri wa timu ya Nkana F.C Walter Bwalya kwenye dirisha dogo la usajili la CAF, hii itasaidia kuziba pengo hilo.
Bwalya ni mchezaji mwenye uwezo mzuri na uzoefu wa kutosha kuitumiakia Simba inayokabiliana na mechi ngumu za CAF.
Mkuu,unakumbuka Haruna Moshi 'Boban' mlianza kumtaka tangu lini?Hivi kaiser chiefs bado wanamtaka tu? Walimtaka 2011 tena 2014 na 2018 tena? Nilifikiri wanahitaji vijana zaidi maana sasa hivi wameachwa kabisa na mamelod sundown ma orlando pirates! Kama uwekezaji ni wa wachezaji waliowataka toka 2011 basi wana haki ya kuburuzwa.
Simba ilifanya jambo sahihi sana kumsajili Adam Salamba, pia Rashid Juma kama akizingatia maelekezo ya makocha na akiendelea Kuwa na nidhamu atakuja kuwa mchezaji tishio kabisa hapa nchini, ana uwezo mkubwa katika umri wake mdogo.mkuu sheria zitamruhusu acheze kweli....lkn m naona ni wakati wa kumpa mechi za ligi za kutosha yule rashid juma na salamba (ili wawe fiti zaidi)....maana naona kama mh. bocco pumzi imekata...
Bwalya hawezi kucheza tena kwenye CAF Champions League ya mwaka huu akiwa Simba, maana kashacheza kupitia Nkanamkuu sheria zitamruhusu acheze kweli....lkn m naona ni wakati wa kumpa mechi za ligi za kutosha yule rashid juma na salamba (ili wawe fiti zaidi)....maana naona kama mh. bocco pumzi imekata...
Labda sheria zibadilke lakini inawezekana,maana mwaka 2011 tunamtoa TP Mazembe ,Mazembe walikua wamemsajiri Mbwana Ally Samatta wakijua wameitoa Simba na acheze kwa ajili ya hatua za mbele za Ligi ya mabingwa,lakini Haki ilivyotendeka kwakua walichezesha mchezaji mamluki na kufanikiwa kuwatoa tuliwaomba Samatta atusaidie kwakua wao tushawatoa walitukatalia kipindi kile.sheria za CAF sio sawa na UEFA ndomana mkiingia makundi Kuna nafasi ya kusajiri mchezaji yeyote ila kama tuu timu yenu ilipeleka idadi ya wachezaji chini ya 30...na room ya kusajiri kwa Simba ipo kwani walikua wamepeleka idadi ya wachezaji 26 tuu.Bwalya hawezi kucheza tena kwenye CAF Champions League ya mwaka huu akiwa Simba, maana kashacheza kupitia Nkana
Ohooo sawa mkuu ngoja nitaendelea kufuatilia zaidi na nitaleta mreshoLabda sheria zibadilke lakini inawezekana,maana mwaka 2011 tunamtoa TP Mazembe ,Mazembe walikua wamemsajiri Mbwana Ally Samatta wakijua wameitoa Simba na acheze kwa ajili ya hatua za mbele za Ligi ya mabingwa,lakini Haki ilivyotendeka kwakua walichezesha mchezaji mamluki na kufanikiwa kuwatoa tuliwaomba Samatta atusaidie kwakua wao tushawatoa walitukatalia kipindi kile.sheria za CAF sio sawa na UEFA ndomana mkiingia makundi Kuna nafasi ya kusajiri mchezaji yeyote ila kama tuu timu yenu ilipeleka idadi ya wachezaji chini ya 30...na room ya kusajiri kwa Simba ipo kwani walikua wamepeleka idadi ya wachezaji 26 tuu.