Hana hadhi ya kuichezea Simba. Labda kidogo Idris Mbombo wa Al Hilal Omdurman.Ni finisher mzuri aliyewahi kuwa mfungaji bora wa ligi ya Zambia.
Sina wasiwasi na jopo lililopewa jukumu la kufanya usajili.
Watasajili wachezaji wa hadhi ya Simba.

kuna wachezaji wengi zaidi ya hao mliowaona kamati yetu ya kusajili sio kama ya vyura mwenyekiti wa usajili anataka 10% hii inatoa kitu inaleta kitu sehemu nyingine ya marekebisho ni beki wa kati Wawa anazingua sana