Ushauri wa kozi, Bachelor of science in physiotherapy na Doctor of medicine

mimi45

Member
Joined
Feb 22, 2025
Posts
20
Reaction score
30
Habari zenu wakuu.

Naombeni msaada wa ushauri kuhusu kozi hizi mbili,

Bachelor of science in physiotherapy na Doctor of medicine (MD)
Ipi iko vizuri zaidi.

Ni ndoto ya kila form six leaver aliyesoma PCB kusoma MD, lakini kuna daktari mmoja hivi yuko intern kasema hanishauri kusoma MD, unless nna passion ya kusaidia watu.

Japo kwa upande flan hivi naikubali physiotherapy sababu naona itakuwa rahisi ku balance na side hustlers mda wa ziada ili nitengeneze pesa🚶‍♀️

Nasikiliza maoni yenu wakuu.
 
Japo kwa upande flan hivi naikubali physiotherapy sababu naona itakuwa rahisi ku balance na side hustlers mda wa ziada ili nitengeneze pesa[emoji2210]

Nasikiliza maoni yenu wakuu.
Kila mtu na bahati yake mkuu nenda kasome MD
 
Habari zenu wakuu.
Naombeni msaada wa ushauri kuhusu kozi hizi mbili,
Bachelor of science in physiotherapy na Doctor of medicine (MD)
Ipi iko vizuri zaidi.
Ni ndoto ya kila form six leaver aliyesoma PCB kusoma MD, lakini kuna daktari mmoja hivi yuko intern kasema hanishauri kusoma MD, unless nna passion ya kusaidia watu.
Japo kwa upande flan hivi naikubali physiotherapy sababu naona itakuwa rahisi ku balance na side hustlers mda wa ziada ili nitengeneze pesa🚶‍♀️

Nasikiliza maoni yenu wakuu.
Kama unataka usome ukatengeneze pesa nenda kasome bcom au Accounting kisha uombe kazi BOT
 
Mmh kirahis tu
Sio kirahisi ndy plan hio. Kuna mtu nilisoma naye alikataa kuomba kazi za hovyo so akaa kitaa 5 years akipambania TRA mwishowe akapata.

Kazi za shm zingine eg Halmashauri hakuwa anaomba kabisa. So, kama home hapana njaa sana huu ushauri unawezafaa.
 
Achana na wazo la side hustle kwa sasa focus na kujenga career yako

MD nimeipendekeza
 
Back
Top Bottom