Kila mtu na bahati yake mkuu nenda kasome MDHabari zenu wakuu.
Naombeni msaada wa ushauri kuhusu kozi hizi mbili,
Bachelor of science in physiotherapy na Doctor of medicine (MD)
Ipi iko vizuri zaidi.
Ni ndoto ya kila form six leaver aliyesoma PCB kusoma MD, lakini kuna daktari mmoja hivi yuko intern kasema hanishauri kusoma MD, unless nna passion ya kusaidia watu.
Japo kwa upande flan hivi naikubali physiotherapy sababu naona itakuwa rahisi ku balance na side hustlers mda wa ziada ili nitengeneze pesa[emoji2210]
Nasikiliza maoni yenu wakuu.
Kama unataka usome ukatengeneze pesa nenda kasome bcom au Accounting kisha uombe kazi BOTHabari zenu wakuu.
Naombeni msaada wa ushauri kuhusu kozi hizi mbili,
Bachelor of science in physiotherapy na Doctor of medicine (MD)
Ipi iko vizuri zaidi.
Ni ndoto ya kila form six leaver aliyesoma PCB kusoma MD, lakini kuna daktari mmoja hivi yuko intern kasema hanishauri kusoma MD, unless nna passion ya kusaidia watu.
Japo kwa upande flan hivi naikubali physiotherapy sababu naona itakuwa rahisi ku balance na side hustlers mda wa ziada ili nitengeneze pesa🚶♀️
Nasikiliza maoni yenu wakuu.
Mmh kirahis tuKama unataka usome ukatengeneze pesa nenda kasome bcom au Accounting kisha uombe kazi BOT
Sio kirahisi ndy plan hio. Kuna mtu nilisoma naye alikataa kuomba kazi za hovyo so akaa kitaa 5 years akipambania TRA mwishowe akapata.Mmh kirahis tu