Ushauri wa kozi ya kusoma

Kweli mtu apate ufaulu mkubwa huo na hajui cha kwenda kusoma,tuna shida mahali
Hata kama amefanya vizuri haizuiliwi pia kuomba ushauri.
Kuomba ushauri si kwa waliofanya vibaya tu.
 
Sera ya CCM ni kufaurisha,siku hizi watoto wanafaulu wengi kama sisimizi.shule nyingi hizo dvsn 1 zipo kama njugu.
Pamoja na huo ufaulu anawza akakosa chuo cha maana
 

Electrical & electronics engineering
software engineering

Ila mpaka anapata AAB kwa PCM na hajui cha kusomea huyo ni mwizi wa mitihani
 
Angalia wapi una connection kwenye ukoo wako ..... hata ualimu kapige kama kinnection imeangukia huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…