Huhitaji kudanganya .Mpe Notisi (28)days na eleza sababu za ukweli tu.Habari ya kusema unaenda kusoma na blah blah zingine na wala huna mpango huo haitakujenga na siku akigundua umemdanganya atafukuza na utapoteza mafao yako.Hamjambo wana JF. Naomba ushauri, mimi nafanya kazi kampuni fulani nje ya Dar na familia yangu ipo Dar. Huwa napata likizo kila baada ya miezi mitatu. Mshahara wake ni mzuri. Nimepata kazi Dar ili nikae na familia yangu ingawa mshahara si mkubwa. Kwa hilo nimeridhika. Ila nafikiria namna ya kumwambia bosi wangu hapa kuwa naacha kwani ni muda wa mwezi nilifikiria kuacha akanibembeleza niendelee nami nikakubali hapo nilikuwa sina kazi. lakini baada ya wiki mbili nikajulishwa kuwa nimpata kazi. Nisaidieni mawazo namna ya kumwambia bosi wangu wa sasa ili nitoke kwa amani hapa,
Hamjambo wana JF. Naomba ushauri, mimi nafanya kazi kampuni fulani nje ya Dar na familia yangu ipo Dar. Huwa napata likizo kila baada ya miezi mitatu. Mshahara wake ni mzuri. Nimepata kazi Dar ili nikae na familia yangu ingawa mshahara si mkubwa. Kwa hilo nimeridhika. Ila nafikiria namna ya kumwambia bosi wangu hapa kuwa naacha kwani ni muda wa mwezi nilifikiria kuacha akanibembeleza niendelee nami nikakubali hapo nilikuwa sina kazi. lakini baada ya wiki mbili nikajulishwa kuwa nimpata kazi. Nisaidieni mawazo namna ya kumwambia bosi wangu wa sasa ili nitoke kwa amani hapa,

siku akikufukuza ndo utamjua huyuo bosi wako
mi huwa nashangaa sana watu wengine, hili nao ni la kuomba ushauri wakati sababu nzito unayo na umeitaja??!!
hutofautiani na ndugu yangu mmoja yaani yeye hata akilwa anataka kwenda ****** lazima aulize, akitaka kupeleka pesa benk lazima aulize, akitaka kwenda kanisani lazima aulize.....