Ushauri wa kuacha kazi

Asanteni sana kwa ushauri wenu, Mungu awabariki.
 
Wewe vipi kila ofisi inautaratibu wake wa kuacha kazi...Ushauri pitia tena contract yako ujue utaratibu ukoje la utapelekwa mahakamani:A S angry:
 
aah simple, mwambie you need to be closer to your family....
 
Mkuu mi naona upo pazuri, ningekuwa ni mimi nisingeacha kwa kuzingatia mambo yafuatayo

  1. Kazi inakipato kizuri
  2. Unapata likizo miezi minne kamili kwa mwaka, ni muda tosha kufurahi na familia yako na kama maiwaifu wako yuko ngangari naona imekaa vema.
  3. Inaonekana unaaminiwa sana hapo kazini, so future ipo pazuri
NB; Kama wewe ni single parent toka nduki rudi ukkukae na watoto.
 

Mimi ni single parent lakini mtoto yupo boarding. Na mshahara kwa kazi hii ni mara tatu ya kazi mpya.
 
Mimi ni single parent lakini mtoto yupo boarding. Na mshahara kwa kazi hii ni mara tatu ya kazi mpya.

Enny, endelea kukamua hukohuko mwanangu, kwa mtizamo wangu huna sababu ya kukidhi kurudi DSM, unless ungekuwa ni single parent na una watoto lukuki wanaokaa na yaya, hiyo ingekuwa ni sababu inayotosheleza kuacha hiyo keki. Lakini muamuzi wa mwisho ni ww mwenyewe kwa kuzingatia sababu zingine binafsi.
 
Hi! Enny
Kwanini watu wengi wanapenda kufanya kazi Dar? Wewe umetoa sababu unahitaji kuwa karibu na familia yako! Sababu ni nyingi sn,mimi kwa ushauri wangu ningekuomba uendelee kufanya kazi hapo ulipo kwa sasa...! Ondoa dhana kuwa Dar ndiyo Tanzania,unaweza kuhamisha familia yako ukaishi nayo kwa amani angalia KIPATO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…