Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aah simple, mwambie you need to be closer to your family....Hamjambo wana JF. Naomba ushauri, mimi nafanya kazi kampuni fulani nje ya Dar na familia yangu ipo Dar. Huwa napata likizo kila baada ya miezi mitatu. Mshahara wake ni mzuri. Nimepata kazi Dar ili nikae na familia yangu ingawa mshahara si mkubwa. Kwa hilo nimeridhika. Ila nafikiria namna ya kumwambia bosi wangu hapa kuwa naacha kwani ni muda wa mwezi nilifikiria kuacha akanibembeleza niendelee nami nikakubali hapo nilikuwa sina kazi. lakini baada ya wiki mbili nikajulishwa kuwa nimpata kazi. Nisaidieni mawazo namna ya kumwambia bosi wangu wa sasa ili nitoke kwa amani hapa,
Mkuu mi naona upo pazuri, ningekuwa ni mimi nisingeacha kwa kuzingatia mambo yafuatayo
NB; Kama wewe ni single parent toka nduki rudi ukkukae na watoto.
- Kazi inakipato kizuri
- Unapata likizo miezi minne kamili kwa mwaka, ni muda tosha kufurahi na familia yako na kama maiwaifu wako yuko ngangari naona imekaa vema.
- Inaonekana unaaminiwa sana hapo kazini, so future ipo pazuri
Mimi ni single parent lakini mtoto yupo boarding. Na mshahara kwa kazi hii ni mara tatu ya kazi mpya.