Ushauri wa kuanzisha sports bar & pub

Ushauri wa kuanzisha sports bar & pub

the dose

New Member
Joined
Aug 24, 2010
Posts
4
Reaction score
0
Wadau ambao wanauzoefu wa start up costs za sports bar & pub naomba mnipe uzoefu wenu kwani hii ni ndoto yangu ya siku nyingi...kitu kinachonisumbua ni vitu muhimu vinavyohitajika mpaka biashara isimame vinahitaji mtaji wa kiasi gani (kwa sasa nina milioni sita mkononi).wazo langu ni kuwa na flat screen moja ya kuanzia plus Dstv, projector moja, na meza kama kumi za kuanzia viti na vihut...please naomba ushauri wenu
 
Back
Top Bottom