Ushauri wa kufungua account

Ushauri wa kufungua account

OBD Mwenyewe

Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
14
Reaction score
3
Wana JF naombeni ushauri,

Nataka kufungua account ya kuweka hela benki.

Je ni account na benki gani iko vizuri?

Ahsante
 
Nenda NMB, NBC au hawa (FNB kama kipato au deposits zako zitakuwa around laki moja na kuendelea FNB saving a/c ukiwa na over laki moja ni free hakuna fee zozote below 100,000/= fee 1,300 tsh per month kwangu hawa ndo most efficient)
Nenda CRDB kama utakuwa unaweka za zaid na million na kuendelea makato yao sio ya nchii na hali za kiuchumi za wanatz jamani
 
Asante sana
 
Back
Top Bottom