Ushauri wa kufungua mgahawa Mloganzila

mangosongoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2016
Posts
256
Reaction score
463
Naitaji kufungua mgahawa sehemu mbili tofauti maeneo ya Mlogalinza na mawasiliano karibia na chuo cha wanafunzi wa sheria sina uzoefu sana na hii kitu na mtaji upo wa kujitosheleza.

Naomba kujua risk zozote za hii biashara au mawazo yeyote kutoka kwenu.
 
Kwa kuwa Mloganzila ndio imeanza juzi, nadhani ni bora kuliko kule mawasiliano maana Mloganzila bado huduma ni chache.
 
Sioni mahali utakapoweka huo mgahawa,ikiwa eneo lililokaribu linalomilikiwa na wananchi ni umbali wa kilometre mbili kutoka hosptl ilipo.
 
Kuwa makini na Watu wa kukuita PM wamekisha tokwa mate.

Kila la kheri.
 
Nifanye mm niwe mpishi wako,hutojuta
 
Mimi ni restaurateur.

Kule mloganzila sijakushauri bado. Labda ufungue mgahawa pale njia kuu.
Ila mle ndani naona kuna yule mbunge wa kibaha ameshachukua tender ya kugawa vyakula.

Kama ukiona AKO catering ujue ndio mmiliki.
Mawasiliano unaweza japo sijui vizuti ni pande gani ila uzingati tu usafi wa hali ya jui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…