Lengo langu ni kwenda kwa awamu,maana sitaweza kuinua kwa wakati mmoja kwa kazi zetu hizi ambazo hazielewekiIla kama tayari una kiwanja mpaka kuifikisha hio level unafika kwa 5-7 hivi
Majibu kumbe unayo alaf umekuja kutuchora😁😁Lengo langu ni kwenda kwa awamu,maana sitaweza kuinua kwa wakati mmoja kwa kazi zetu hizi ambazo hazieleweki
Awamu nilizopanga ni hizi
1.Msingi wote
2.Kuipandisha mpaka kwenye lenta
3.Kupiga lenta
4.Kuimalizia mpaka mwisho wa tofari
😁😁😁Majibu kumbe unayo alaf umekuja kutuchora😁😁
Mbona inafanana na zile polisi post za Lyatonga?Habari zenu,
Nataka nianze kujenga ila mdogomdogo.
Kuna ramani nitaituma hapo ndio nataka nyumba yangu iwe hivyo ila nitaanza na chumba kimoja kimoja mpaka inaisha.
Lengo langu ni kujenga msingi kwa wakati mmoja ila kupandisha juu nitaanza na chumba kimoja kimoja.
Wataalamu nataka nifahamu gharama ya kuhudumia msingi mpaka ukaisha tofari ngapi zinahitajika, cement n.k