Ushauri wa kununua Volkswagen Golf ya diesel

mwanzepele

Member
Joined
Nov 19, 2019
Posts
5
Reaction score
3
Nataka kununua Volkswagen Golf ya diesel (2.0 TDI GT DSG) ya mwaka 2007 ya Uingereza. Naombaeni ushauri kwa ambaye ana ujuzi wa gari hizi haswa kwenye upande wa maintanance na changamoto zake kama imezidi 120K miles. Je ni reliable na nnaweza nikawa nnasafiri nayo masafa marefu?
 
Very reliable ila uikute katika hali nzuri na uzingatie service ! @120k miles turbo diesel bado ni mpya huwa zinaenda hadi 1mil km
 
Hivi kati ya Golf na Polo, ipi ni more reliable? na unafuu kwenye maintenance?

-Kaveli-
Polo ni kama downgraded. Version ya golf , polo inaweza kuwa nafuu kwenye maintenance, golf ni more reliable.
 
Hello mwenzepele Mambo vipi... Naitwa cecylia ni agent natoa gari/ container Bandarini ukishapokea ushauri karibu Kwa huduma ya clearing... Volkswagen pollo ni gari nzur nlishawah mtolea mteja wangu.. na mpk sasa anaifurahia ni nzur
My wasap no 0764423726
 
Chukua chuma iyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nauza door projectors za magari
-Toyota
-Subaru
-Mazda
-Hyundai
-Ford
-Nissan
-Benz
-Bmw
***Bei ni 25,000 kwa milango miwili ya mbele
*** Npigie 0693225605 nipo sinza hizi ni kubandika tu ukifungua mlango inawaka taa ka kwenye picha chini apo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…