Ushauri wa kupata Course ya bachelor in Medical Laboratory Pale Muhimbili?

Mwzllaaaah

New Member
Joined
Aug 21, 2020
Posts
2
Reaction score
0
Samahani Wapendwa mimi Ni muhitimu wa kidato Cha sita mwaka huu(2020) nilisoma PCB na nimepata DDD nina two ya 12, Nauliza kama Kuna uwezekano wa kupata Course ya bachelor in Medical Laboratory Pale Muhimbili?
 
Hupati lazma uwe na C ya chemistry
 
unaelewa lakini unachotaka kwenda kusomea? umefanya utafiti Kwa kina ukaridhika nayo?
kama ni hivyo basi sawa nikutakie kila la kheri mkuu.
 
Back
Top Bottom