Ndio kwa desktop zote unaweza, na kwa laptop unaweza almost zote ila kuna situation kadhaa.
-laptop yenye hdd mbili (zote sata)moja unaweza weka ssd na nyengine ukaweka hdd
-laptop yenye hdd moja na mlango wa cd (zote SATA) unaweza weka ssd na hdd ila itabidi uue mlango wa cd
-laptop yenye sata na m2 port unaweza weka hdd na kwenye m2 ukaweka ssd.
Laptop nyingi za kisasa miaka around 5 iliopita zina m2 port hivyo unanunua tu ssd na kuweka bila kutoa hdd yako.
Hii ndio sata ssd ipo kama hdd ya kawaida
Na hii ndio m2 ssd ipo kama ram ama network card