Ushauri wa Laptop nzuri kwa ajili ya graphics design

Asipoelewa hapa ana lake moyoni.
 
Nunua Imac Desktop corei5 utakua umemaliza. Laptop zinacomplication sana.
 
Brand Name au Model sio issue sana... bali unatakiwa uzingatie Graphics Card ya Pc, RAM na aina ya Processor. Nakushauri fanya window shopping waambie wauzaji wa laptop watakukidhi hitaji lako.
Mcheki jamaa instagram anaitwa computerbeipoa yupo Karia Koo karibu na Mnazi Mmoja...
 
Bei za ssd kwa tz zipoje?
 
Hivi inawezekana pc ukaiwekea ssd na hdd,afu ssd ukaitumia kwa os na hdd kwa issue zingine
Ndio kwa desktop zote unaweza, na kwa laptop unaweza almost zote ila kuna situation kadhaa.

-laptop yenye hdd mbili (zote sata)moja unaweza weka ssd na nyengine ukaweka hdd
-laptop yenye hdd moja na mlango wa cd (zote SATA) unaweza weka ssd na hdd ila itabidi uue mlango wa cd
-laptop yenye sata na m2 port unaweza weka hdd na kwenye m2 ukaweka ssd.

Laptop nyingi za kisasa miaka around 5 iliopita zina m2 port hivyo unanunua tu ssd na kuweka bila kutoa hdd yako.

Hii ndio sata ssd ipo kama hdd ya kawaida


Na hii ndio m2 ssd ipo kama ram ama network card
 
Nashukuru Chief hapa nimekupa vizuri
 
Kama bado unahitaji nitafute zipo HP Kali sana mkuu. Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…