Ushauri wa Lee Kuan Yew kwa viongozi wa nchi

Ushauri wa Lee Kuan Yew kwa viongozi wa nchi

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
14,809
Reaction score
11,825
According to Tony Brair akimzungumzia Raisi aliyekuwa Kiongozi wa nchi masikini ya Singapore... Lee Kuan Yew.

Nadhni Tanzania na Africa we need Raisi mwenye maono kama huyu Lee. hebu msikilize.

Piga chini kiswahili kimetuletea umasikini tu na kutufanya zaidi tuwe houseboy n.k hatukubaliki kuajiliwa kimataifa hata waliosoma vyuo vikuu hawaongei vizuri hivyo wanashindwa kufanya akili zao zilete mafanikia kazi tu ni kukumbuka tafsiri.

Lete wataalam wenye akili walete mawazo ya kuendeleza nchi, lipa vizuri Mawaziri, jeshi na wataalamu na wasimamizi wa nchi. Zuia rushwa kila mtu atanyooka.. kiongozi atakaye thubutu kula rushwa ananyongwa.. wale wanaobeba nduguzao mazuzu makazini waondoshwe kwani hawana tofauti na wauaji..

Tutengeneze sytsem ya kutambua wajinga mapema wapewe mafunzo maalum akili zao zikae sawa kisha waendelee walipokwamia... kuna raia wana akili mitaani sababu ya maisha walikwama sehemu ila maisha ya kitaani wanatoboa.

PIA SOMA
- Mjue Lee Kuan Yew- Maamuzi magumu 10 kutoka kwa mtu aliyeiona kesho ya nchi yake


View: https://www.youtube.com/shorts/VCb0iAWrm0Q?feature=share
 
Back
Top Bottom