-Ni muda gani wa kupata huduma hiyo? ni muda wa masaa 24?
-Huduma hiyo hutolewa na nani?...kwa uhakiki upi ni mtaalamu wa magonjwa ya moyo?
-"Ushauri" una maana ya mgonjwa kujieleza na kushauriwa, yaani kupewa elimu au hata baada ya kupata matibabu?
-Feasibility ikoje?...yaani ni kwa namna gani mgonjwa huweza kutambua "dalili za magonjwa ya moyo"? maana nyingine NYINGI hushabihiana na dalili za magonjwa mengine!