Ushauri wa magonjwa ya moyo kwa simu (mobile phone cardio-consultation)

Ushauri wa magonjwa ya moyo kwa simu (mobile phone cardio-consultation)

vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
268
Reaction score
59
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
 
Mkuu vicent tibaijuka,

Tafadhali nisaidie hapa kupata ufafanuzi huu,

-Ni muda gani wa kupata huduma hiyo? ni muda wa masaa 24?
-Huduma hiyo hutolewa na nani?...kwa uhakiki upi ni mtaalamu wa magonjwa ya moyo?
-"Ushauri" una maana ya mgonjwa kujieleza na kushauriwa, yaani kupewa elimu au hata baada ya kupata matibabu?
-Feasibility ikoje?...yaani ni kwa namna gani mgonjwa huweza kutambua "dalili za magonjwa ya moyo"? maana nyingine NYINGI hushabihiana na dalili za magonjwa mengine!
 
Last edited by a moderator:
Tupe CV yako kwanza afu utwambie utajuaje kama anaCVD bila auscaltation how will you know. Au ndo wale waganga wa kienyeji. Toa CV
 
Siyo CVD zote utasikia kwenye stethoscope. let say mwenye angina pectoris utasikia murmurs?
 
Back
Top Bottom