Elon Mzebuluni
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 225
- 139
Kwenye kupima diameter (Internal/External diameter), kifaa kinachotumika kinaitwa Vernier Caliper.Nina swali mkuu,wakati naangalia hii video kuna vifaa alikua anatumia kupima diameter za chuma sentimeter vifaaa hivi mkuu vinapatikana wapi nikivihitaji maana nimegundua n vya muhimu sana wakati wa utendaji kazi ili kuepuka makosa madogo madogo ambayo yatafanya fundi uonekane hujui unachokifanya.
Zipo za aina 2, Analogy na Digital Vernier Caliper.
Japo kwenye ufundi Welding sicho cha muhimu sana, labda Kama utakuwa unafanya Design.
Bei zake zungukia maduka makubwa ya hardware.