Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Naiomba serikali ya Jamhuri ianzishe tozo ya Tsh.500 kwa kila gari binafsi ndani ya wilaya. Mfano gari binafsi ndani ya wilaya iliyopo kwa siku itatoa Tsh.500 ikiingia barabara (movement). Na endapo ikivuka wilaya yake tozo iwe ni hiyo hiyo Tsh.500.
Lengo la hili wazo ni;
1. Kupunguza matumizi ya gari binafsi ktk nchi.
2. Kupunguza msongamano wa magari barabarani.
3. Kupunguza na kuondoa ajali.
4. Kuhifadhi mazingira (hewa itokanayo na magari)
5. Kupunguza gharama za ujenzi wa miundombinu ya barabara isiyo na ulazima au tija kwa wakati huo.
6. Ni chanzo cha ajira kwa vijana ktk kila wilaya (zaidi ya vijana 100 kila wilaya wataajiriwa).
7. Itachochea maendeleo ya nchi. Serikali mtaweza kumudu "standard of living" kwa wananchi.
Asanteni.