Ushauri wa mapato kwa serikali

Ushauri wa mapato kwa serikali

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,013
Reaction score
1,183
Naiomba serikali ya Jamhuri ianzishe tozo ya Tsh.500 kwa kila gari binafsi ndani ya wilaya. Mfano gari binafsi ndani ya wilaya iliyopo kwa siku itatoa Tsh.500 ikiingia barabara (movement). Na endapo ikivuka wilaya yake tozo iwe ni hiyo hiyo Tsh.500.
Lengo la hili wazo ni;
1. Kupunguza matumizi ya gari binafsi ktk nchi.
2. Kupunguza msongamano wa magari barabarani.
3. Kupunguza na kuondoa ajali.
4. Kuhifadhi mazingira (hewa itokanayo na magari)
5. Kupunguza gharama za ujenzi wa miundombinu ya barabara isiyo na ulazima au tija kwa wakati huo.
6. Ni chanzo cha ajira kwa vijana ktk kila wilaya (zaidi ya vijana 100 kila wilaya wataajiriwa).
7. Itachochea maendeleo ya nchi. Serikali mtaweza kumudu "standard of living" kwa wananchi.
Asanteni.
 
Tayari tunalipa kodi nyingi mno kwenye mafuta, sasa waongeze ya nini tena? Msongamano utapunguzwa kwa upanuzi wa barabara na ujenzi wa flyovers, ajali zitapunguzwa kwa kufuata na kusimamia sheria za usalama barabarani, mazingira yatatunzwa kwa kutumia nishati mbadala safi za magari kama gesi za magari, barabara na miundombini itatunzwa kwa kuboresha reli ili mizigo mizito itumie reli badala ya barabara, ajira zitapatikana kwa ujenzi wa viwanda na sio kuajiri hiyo mizigo, hii itadumaza uchumi kwani wenye kujihusisha na gereji, service station nk. watakosa kazi na biashara. Empty thread, huna hoja kabisa, BOGUS!
 
Hivyo vyote vinahitaji pesa. Ww ndio kilaza kweli. Namna rahisi ya kupunguza traffic congesting ni ku discourage ownership of private car. Sasa unachoshangaa nini, na miji kibao ukiingia City center unalipia tozo

Kwani parking fee sio tozo, makodi yote kwenye mafuta sio tozo?gharama tu ya kukusanya hiyo shs.500/= ina-defeat the purpose, halafu tunakoekea gari itakuwa ni basic human need kama kuvaa nguo, sasa tusipeane mashetani ya umasikini
 
Back
Top Bottom