ushauri wa matokeo yangu ya kidato cha sita.

wisely

Member
Joined
May 11, 2014
Posts
32
Reaction score
4
samahani wanajukwaa naomba ushauri, nlifanya mtihani wa kidato cha sita kama private candidate combination ya HGK mwaka jana matokeo ya ngu nlikuwa nna III ya point 13 ingawa GS nlipata F naombeni ushauri ninaweza kupata chuo endapo ntafanya selection au itanlazimu kufanya mtihani pia wa GS naombeni ushauri.
 
HGK utafel vp GS ww.je mtu wa PCB,PCM.topic nying za GS sinaendana na combination.sasa bas jarib vyuo mbal mbal watakuchukua mkuu.sio case saana but nooma
 
samahani wanajukwaa naomba ushauri, nlifanya mtihani wa kidato cha sita kama private candidate combination ya HGK mwaka jana matokeo ya ngu nlikuwa nna III ya point 13 ingawa GS nlipata F naombeni ushauri ninaweza kupata chuo endapo ntafanya selection au itanlazimu kufanya mtihani pia wa GS naombeni ushauri.

GS mwaka jana tulifeli 50% of the candidates.. na chuo tunapeta tu,, chuo unapata sanaaaa
 
Naelewa kwasababu kama naenda form five lazima nifatilie hata mambo ya f6
 
Back
Top Bottom