samahani wanajukwaa naomba ushauri, nlifanya mtihani wa kidato cha sita kama private candidate combination ya HGK mwaka jana matokeo ya ngu nlikuwa nna III ya point 13 ingawa GS nlipata F naombeni ushauri ninaweza kupata chuo endapo ntafanya selection au itanlazimu kufanya mtihani pia wa GS naombeni ushauri.